Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akibonyeza kitufe kuzinduwa rasmi mradi mkubwa wa umeme kutoka Tanga hadi kisiwani Pemba, katika sherehe zilizofanyika leo kwenye Uwanja wa Gombani Pemba. Kulia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein.DSC
Wasanii wa kikundi cha Ngoma ya Msewe kutoka Shule ya sekondari Mchanga Mdogo Kisiwani Pemba, wakionesha umahiri wao kwenye sherehe za uzinduzi wa mradi wa Umeme kutoka Tanga hadi Pemba, uliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar Dk. Aman Abeid Karume katika Uwanja wa Gombani Pemba.
0 comments:
Post a Comment