Nafasi Ya Matangazo

June 10, 2010

Mfakazi wa Dynapharm Mkoani Morogoro Cornelia akitoa huduma wakati wa semina elekezi. Baadhi ya wanachama wa Dynapharm Morogoro wakiwa katika semina hiyo.
Nathan akielezea moja ya kahawa maalum ambazo ni tiba kwa magonjwa mengi kama kisukari, presha na mengineyo.
Bwana Thomas Nathan wa Dynapharm Dar es Salaam akitoa mada juu ya matumizi ya dawa mbalimbali za kamopuni hiyo na namna ambavyo mwanachama anaweza kunufaika pindi akiingiza watu wengi.
Wanachama wakipata kahawa maalum.
Baadhi ya Viongozi wa Dynapharm Dar es Salaam.

Posted by MROKI On Thursday, June 10, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo