Kisima cha maji ambacho kimejengwa katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ambacho kinasubiri kukabidhiwa kwa wanakijiji tayari kwa kukitumia. Mradi huu umefadhiliwa na Kampuni ya Vodacom kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundations.Mkazi wa KLitongoji cha Kinyenze akisafisha vyombo mtoni jambo ambalo ni hatari kwa watumiaji wengine wa maji hayo kwani sabuni zote huishia humo. Ufunguzi wa Kisima cha maji kijijini hapo kutaondoa kwa asilimia kubwa tatizo la maji safi na salama lililopo katika kitongoji hicho.
0 comments:
Post a Comment