
Zoezi la Singe kwa Askari Polisi wa mkoani Iringa

Namna ya kujihami wakati wa kutekwa.

Askari ndani ya zoezi.

Askari wakirudi kambini baada ya kukamilika kwa zoezi

Askari kutoka Iringa akifanya mazoezi ya Singe mbele ya IGP Said Mwema ambako alikwenda kuzindua kitabu cha "Haki na Wajibu wa mpigakura".
0 comments:
Post a Comment