Naibu Waziri wa Habari Michezo na Utamaduni Mheshimiwa Joel Bendera akitia saini mpira maalum wa kombe la dunia katika sherehe za kuukaribisha rasmi mpira huo nchini Tanzania. Kushoto kwake ni Bw. William Mpinga, Meneja Masoko wa Zantel. Zantel ndio wadhamini wakuu wa ziara ya mpira huu hapa nchini.
Meneja Masoko wa Zantel Bw. William Mpinga akitoa hotuba kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel kwenye sherehe za kuukaribisha rasmi mpira maalum wa kombe la dunia iliofanyika leo katika viwanja vya Karume jijini Dar es Salaam. Zantel ndio wadhamini wakuu wa ziara ya mpira huu hapa nchini.

Meneja Masoko wa Zantel Bw. William Mpinga naye akiweka saini yake kwenye mpira maalum wa kombe la dunia kwa niaba ya Zantel ambao ni wadhamini wakuu wa ziara ya mpira huo nchini Tanzania.
0 comments:
Post a Comment