Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, akisakata Rumba na Elsia Kanza kwenye Tafrija ya kukamilisha mkutano wa Uchumi Duniani iliyofanyika jana Usiku katika Viwanja vya Ikulu Dar es salaam. Rais wa Janhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete katikati, Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Wazi Mkuu wa Kenya Mhe.RailaOdinga na Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Dk. Salim Ahmed Salim, wakisakata Rumba katika Tafrija ya kukamilisha Mkutano wa Uchumi Duniani iliyofanyika jana katika Viwanja vya Ikulu Dar es salaam.
May 07, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment