Nafasi Ya Matangazo

May 07, 2010

Katibu wa Chama cha Soka Mkoa wa Iringa (IRFA) Elliud Mvella akisisistiza jambo kwa wawakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakati wa utoaji wa vifaa kwa timu zinazoshiriki michuano ya Kili Taifa Cup 2010. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya Rukwa Eusebius Mbinda.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi (kushoto) akikabidhi mmoja wa mipira itakyotumiwa kwenye michuano ya Kili Taifa Cup 2010 kwa Katibu wa Chama cha Soka Mkoa wa Iringa IRFA, Elliud Mvella.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya Iringa Abou Changawa itakayotumiwa kwenye michuano ya Kili Taifa Cup 2010. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya Mbeya Joel Kasebele itakayotumiwa kwenye michuano ya Kili Taifa Cup.
Posted by MROKI On Friday, May 07, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo