UNITY OF WOMEN FRIENDS (UWF) WANAPENDA KUWAPONGEZA TANZANIA BREAST CANCER FOUNDATION (TBCF), KWA KUANDAA MATEMBEZI YA HIARI YALIYOFANYIKA TAREHE 4-4-2010, KWA AJILI KUCHANGIA MFUKO WA MRADI WAO AMBAO UNAELIMISHA NA KUWA SHAURI WANAWAKE AMBAO WAMEGUNDULIWA KUWA WANA SARATANI YA MATITI. WANAKIKUNDI CHA UWF WALIOSHIRIKI KWENYE MATEMBEZI YA HIARI YALIYO ANDALIWA NA TBCF DAR ES SALAAM.
May 05, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
salaam. naomba nielimishe hii 'unity women friends' (uwf) ni umoja wa aina gani? sifa gani kuwa mwanachama? mi mwanamke ningependa nami nijiunge
ReplyDelete