Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) kinakabiliwa na uhaba wa maji.Kwamujibu wa chanzo cha habari kutoka chuoni hapo kinasema Maji yamekuwa ni tatizo kubwa na pindi yakitoka ni kidogo kwa saa chache na yakikatika yanaweza kaa hata kwa siku tatu.
Chuo hicho kinakadiriwa kuwa na wanachuo zaidi ya 2o,ooo. Barabara kuu ya Kuelekea UDOM kutoka Dodoma mjini.
0 comments:
Post a Comment