Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza katika Mkutano wa Uchumi Duniani juu ya Afrika (WEF-A) ulioanza leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City.
Rais alikuwa anazungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo jioni hii.Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa (UN Habitat), Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka akizungumza katika mkutano huo.
Mdau huyu nae alikuwepo..
0 comments:
Post a Comment