Licha ya watetezi wa haki za binaadamu katika masuala ya ugaguzi kuopigia kelele suala la Mwanaume kumfanyia ukaguzi mawanke na mwanamke kumgagua mwanaume katika maeneo mengio hasa viwanja vya ndege lakini tatizo hilo bado lipo bila ya sababu maalum. Pichani ni matukio mawili ya ugaguzi yaliokuwa yanafanya na maofisa wa Usalama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere Dar es Salaam hivi karibuni jambo ambalo lilionesha hisia tofauti kwa watu waliokuwepo uwanjani hapo kusubiri wageni wao na wengine kuwasindikiza. May 25, 2010
Licha ya watetezi wa haki za binaadamu katika masuala ya ugaguzi kuopigia kelele suala la Mwanaume kumfanyia ukaguzi mawanke na mwanamke kumgagua mwanaume katika maeneo mengio hasa viwanja vya ndege lakini tatizo hilo bado lipo bila ya sababu maalum. Pichani ni matukio mawili ya ugaguzi yaliokuwa yanafanya na maofisa wa Usalama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere Dar es Salaam hivi karibuni jambo ambalo lilionesha hisia tofauti kwa watu waliokuwepo uwanjani hapo kusubiri wageni wao na wengine kuwasindikiza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment