Nafasi Ya Matangazo

May 25, 2010

Timu ya Taifa ya Mkoa wa Iringa leo imekubali kurudi nyumbani baada ya kutolewa katika michuano ya Kombe la Taifa Kili Taifa CUP.

Iringa walikubali kichapo cha matuta kutoka kwa bingwa Mtetezi wa kombe hilo Ilala (jezi nyeupe) katika mchezo uliopigwa uwanja wa bibi (Uhuru) Dar es Salaam leo.
Posted by MROKI On Tuesday, May 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo