Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam leo alikibadhi kiasi cha shilingi Milioni 6 kwa timu sita kutoka mkoa wa Dar es Salaam ambazo zinataraji kushiriki mashindano ya Kuwania Kombe la Taifa, Kili Taifa Cup 2010 chini ya Udhamini wa Bia Kilimanjaro inayozalishwa na TBL. Mkuu wa Mko wa Dar es Salaam, William Lukuvi (kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 1.5 Katibu Msaidizi wa Chama cha Mpira wa Miguu Ilala (IDFA) Daudi Kanuti. Katikati ni Meneja Matukio wa TBL, Zozimick Kimati.
Mkuu wa Mko wa Dar es Salaam, William Lukuvi (kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 1.5 Afisa Utumishi waWilaya ya Ilala Mafuku Kabeya kwaniaba ya timu ya Taifa ya Vijana U-20.Katikati ni Meneja Matukio wa TBL, Zozimick Kimati.
Mkuu wa Mko wa Dar es Salaam, William Lukuvi (kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 1.5 Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Kinondoni (KIFA) Frank Mchaki. Katikati ni Meneja Matukio wa TBL, Zozimick Kimati.
Mkuu wa Mko wa Dar es Salaam, William Lukuvi (kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 1.5 Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Temeke (TEFA) Bakili Makele. Katikati ni Meneja Matukio wa TBL, Zozimick Kimati. Viongozi wa timu za Ilala (kulia) Kinondoni (katikati) na Temeke wakionesha fedha hizo baada ya kukabidhiwa.
0 comments:
Post a Comment