Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Bashir Awale akionesha hati ya utambulisho ya huduma za Kibenki chini ya Shariah.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Bashir Awale (kushoto) akipokea hati maalim ya utambulisho ya utoaji huduma za Kibeki chini ya Shariah ya Kiislam Dar es Salaam jana kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shariah, Sheikh Muharram Doga. Kulia ni Mkuu wa Msoko wa Benki hiyo, Abdallah Singano.
0 comments:
Post a Comment