Nafasi Ya Matangazo

May 05, 2010

Mkufunzi wa Mradi wa CHAMPION, unaofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Watu wa Marekani USAID, chini ya Shirika lisilo la Kiserikali, EngenderHealth, Dk. Ben Ngoye, akiendesha mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu maambukizi ya Ukimwi iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waandishi wakifuatilia mada katika mafunzo hayo ya siku moja.
Hawa nao walikuwepo walau kupata elimu hiyo.
Hili lilikuwa somo maalum la utambuzi wa kundi lililokatika hatari zaidi ya maambukizi ya VVU/Ukimwi katika jamii.Mda zilifuatiliwa kwa umakini zaidi...
Wakati muafaka... na kuondoka.

Posted by MROKI On Wednesday, May 05, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo