Nafasi Ya Matangazo

May 31, 2010

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya Emmanuel Humba akisema neno la ufunguzi wa semina.
Maofisa wa NHIF wakichukua dondoo
Waandishi watakao tupasha siku ya day 2 kilicho jiri katika day one
Mzee Lugwangule, Beda Msimbe nae hachezi mbali na semina hii.
Waandishi wakisajili tayari kwa semina
Huyu ni mkongwe ama ripota Nguli, Ben Kiko kutoka Tabora, nafikiri unakumbuka vitu vyake enzi za RTD sasa TBC Taifa.
Dawati la usajili likiwa kazini...
Washiriki wakifuatilia mada kwa umakini
Mmoja wa watoa mada Hamisi Mdee akitoa mada ya Taarifa ya Utekelezaji wa mfuko hadi Machi 2010.
Washiriki wa semina hiyo ambao ni Waandishi wa Habari na Wahariri.


Mfuko wa Bima ya Afya Tanzania (NHIF) umeandaa semina ya siku tatu mjini Morogoro kwa Wahariri wa Habari na Waandishi Waandamizi kutoka vyombo mbalimbali vya Habari Tanzania. Semina hii ni ya NHIF kuelezea kwa kina shughuli zake, mafanikio na matarajio nchini huku pia ikichukuliwa kama ni sehemu ya kufahamiana.

Posted by MROKI On Monday, May 31, 2010 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJune 01, 2010

    safi sana NHIF kwa kuwajaza mifuko waandishi na mabosi wao, nakumbuka semina kama hizo huwa na neema kubwa... ahaaaaaa, si mchezo dambaya umenenepa sana

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo