Kamishna Idara ya Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Uchumi ya Tanzania Ngosha Magonya akichangia mada jana mjini Abidjan nchini Ivory Coast juu ya nchi za Afrika zinavyoweza kusaidia kuchangia ruzuku ya mbolea kwa wakulima kwa ajili ya kuleta mafanikio katika sekta ya kilimo.
0 comments:
Post a Comment