Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Muhammed Seif Khatib akizungumza na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wakati wa mkutano wa sita wa baraza hilo unaofanyika jijini Tanga. Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Habari, utamaduni na Michezo wakijadili masuala mbalimbali katika mkutano wa sita unaofanyika jijini Tanga
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Muhammed Seif Khatib (katikati) akiwa na viongozi na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Habari, utamaduni na Michezo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa sita wa baraza hilo juzi
0 comments:
Post a Comment