Nafasi Ya Matangazo

May 25, 2010

Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Barclays Tanzania wakisikiliza kwa makini mshauri kutoka kampuni ya Strategies (hayupo pichani) kuhusu masuala mbalimbali ya kimaisha yanayohitaji ushauri mbalimbali ikiwa ni sehemu ya mpango wa Barclays wa wafanyakazi uitwao Employee Wellness Program (EWP) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Posted by MROKI On Tuesday, May 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo