Msichana wa kijiji cha Mdimba Kata ya Kitangali Wilayani Newala mkoani Mtwara akitembeza shanga ambazo huvaliwa kama urembo na wanawake wengi wa Mtwara, wakati wa Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Newala George Mkuchika (hayupo pichani) na wananchi wa kijiji hicho hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment