Nafasi Ya Matangazo

April 17, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia katika Tamasha la Kulipongeza Bunge na Serikali kwa kupitisha sheria ya kumlinda mtoto.
Watoto wa Dodoma wakipita mbele ya mgeni rasmi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa Maandamano katika Tamasha la Kulipongeza Bunge na Serikali kwa Kupitisha sheria ya kumlinda Mtoto kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma, leo.
Watoto wakishangilia. Watoto wakiwa katika maandamano.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge, Samuel Sitta (kulia) wakifurahia zawadi walizozawadiwa na watoto wa Dodoma katika Tamasha la kulipongeza Bunge na Serikali kwa kupitisha sheria ya kumlinda mtoto lililofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma, Aprili 17, 2010. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. James Msekela na wanne kulia ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Margareth Sitta.

Posted by MROKI On Saturday, April 17, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo