Baadhi ya Makatibu Tarafa na Wazee Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Wanasheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) hawapo pichani wakati timu ya wanasheria hao ilipofanya ziara ya kutoa elimu ya sheria kwa umma wilayani humo jana.
Mwandishi Mkuu wa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) Caritas Mushi akitoa mada mbele ya Makatibu Tarafa na Wazee wa Mbinga mkoani Ruvuma wakati timu ya Wanasheria kutoka Tume hiyo ilipofanya ziara ya kutoa elimu ya Sheria kwa umma Wilayani humo jana, wengine ni Ofisa Sheria Flora Tenga kushoto na Flaviana Charles

Baadhi ya Watumishi wa Serikali kutoka idara mbalimbali Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Wanasheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT)
kumbe! ahsante kwa taarifa za kunyumba
ReplyDelete