Nafasi Ya Matangazo

April 22, 2010

TUWASAIDIENI WATOTO HAWAMtoto Emmanuel Madede (9) akimnawisha mikono mdogo wake Philipo Madede(3), ambaye ni mlemavu wa miguu na kiuno tayari kwa kupata mlo wa mchana, (makande ya maharagwe) mwingine anayenawa ni Japhet Madede(5), watoto hawa wanahitaji msaada baada ya wazazi wao kuwatelekeza na hivi sasa wanaishi na mama mkubwa ambaye hana kipato katika kijiji cha Bomani, Wilaya ya Meatu mkoani Shinyanga.
Posted by MROKI On Thursday, April 22, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo