Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Prof. David Mwakyusa (katikati walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Mfiko wa Bima wa Afya alipoizindua leo.
Waziri Prof Mwakyusa akizungumza na baadhi wa wajumbe wa Bodi ya NHIF.
Waziri Prof Mwakyusa akizungumza na baadhi wa wajumbe wa Bodi ya NHIF.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya, Emmanuel Humba (kulia) akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya mfuko huo, Deogratius Ntukamazina wakati wa uzinduzi huo.
0 comments:
Post a Comment