TAARIFA
Ndugu wateja
Tunasikitika kutoa taarifa ya kuwepo kwa matatizo katika vipoza joto katika jengo letu.Tunafahamu kuwa huu ni usumbufu kwenu lakini mafundi wetu wanafanyakazi kutatua tatizo hili haraka iwezekanavyo.
Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kwakuendelea kutumia huduma zetu katika hali hii Asanteni.
Utawala
Stanbic Bank.




0 comments:
Post a Comment