
Mdau Lucy akiangalia vitabu katika banda la World Books Limited katika maonesho ya Vyuo vya Elimu ya Juu ya liyomalizaka jana Diamond Jubelee Dar es Salaam. Ah! mdau kanikumbusha ya Mzumbe miaka hiyo.

Kijana wa Mlimani TV "Elimu Kwanza" akitoamaelezo kwa vijana wanaopenda kusomea Uandishi.

Vyo vya Afrika Mashariki vilikuwepo

IMTU walipima hadi afya za watu

SUA walinivutia na ndizi hizi..
0 comments:
Post a Comment