Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wakandarasi wa Nishati ya Jua ya Rex Investment Limited, Francis Kibhisa (kushoto) akibadilishana mkataba wa makubaliano ya Nishati ya Jua ya Mega watt 1 na Meneja Mauzo wa Kampuni ya nishati hiyo ya SUNTECH ya nchini China, Vincent Song, jana Dar es Salaam. Mpango huo utalenga zaidi kusaidia maendeleo ya wananchi wa vijijini.
Posted by MROKI
On Thursday, April 15, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment