Mzee wa Mikunjo Athuman Ford maarufu Wabogojo ambaye kwasasa yupo Nchini China akijandaa kufanya vitu vyake (kulia) akiwa na rafiki yake Tutala Makoma. Hapa walikuwa Belgium ambako makoma alikwenda mtembelea Wabogojo. Makoma ambaye ni mmoja wa wasanii wa nyombo za dini za kundi la Makoma lililotikisa mika ya nyuma anaishi nchini Uingereza kwa sasa.
March 25, 2010

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

hapo umechemka makoma na kundi lake lote wanaishi uholanzi.rotterdam.
ReplyDeletenaomba kuwakilisha faza kidhevu
mdau den bosch