Nafasi Ya Matangazo

March 25, 2010

Mzee wa Mikunjo Athuman Ford maarufu Wabogojo ambaye kwasasa yupo Nchini China akijandaa kufanya vitu vyake (kulia) akiwa na rafiki yake Tutala Makoma. Hapa walikuwa Belgium ambako makoma alikwenda mtembelea Wabogojo. Makoma ambaye ni mmoja wa wasanii wa nyombo za dini za kundi la Makoma lililotikisa mika ya nyuma anaishi nchini Uingereza kwa sasa.
Posted by MROKI On Thursday, March 25, 2010 1 comment

1 comment:

  1. hapo umechemka makoma na kundi lake lote wanaishi uholanzi.rotterdam.
    naomba kuwakilisha faza kidhevu


    mdau den bosch

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo