
Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Balozi Mpya wa Tanzania nchini Malawi, Patrick Tsere Ikulu Dar es Salaam leo.

Rais Kikwete akisaini hati ya kiapo ya Balozi Patrick Tsere.

Balozi Patrick Tsere kulia akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu tawala waliopishwa nae leo Ikulu Dar es Salaam.

Mmoja wa makatibu tawala akipongezwa na familia yake baada ya kuapishwa Ikulu leo.

Balozi wa Tanzania Malawi, Patrick Tsere akiwa katika picha ya opamoja na wanafamilia.
0 comments:
Post a Comment