Nafasi Ya Matangazo

March 11, 2010

Askofu wa Kanisa la KKKT DAYOSISI KUU YA Magharibi, Elias Bubelwa akikatta utepe kuashiria uzinduzi wa uchangiaji wa harambee kwa njia ya SMS Dar es salaam jana kwa ajiri ya kuchangia uanzishwaji wa chuo kikuu cha Joshua Kibira university college(JOKUCO) Kagera.Mjumbe anaesimamia michango midogomidogo Bw. Charles Mwijage akimwonesha tv, itakayotolewa wakati wa uchangiani wa harambee, Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Eliasa Bubelwa Dar es salaam.Askofu wa KKKT Dayosisi kuu ya Magharibi Elisa Bubelwa (kulia)akichangia kwa njia ya simu wakati wa uzinduzi wa harambee ya kuchangia uhanzishwaji wa chuo kikuu cha joshua Kibira kilichopo Bukoba Dar es salaam leo.
Posted by MROKI On Thursday, March 11, 2010 2 comments

2 comments:

  1. Hongereni KKKT kwa hatua hiyo kubwa ya kimaendeleo.Mungu awawezeshe mfanikishe malengo yenu.Mbarikiwe.

    ReplyDelete
  2. Hapo diocess kunafahamika wenye mikono mirefu. Tafadhali wawekeeni mbali na chuo hiki kipya.
    Pili wekeza sana kwenye mahabala maana theory tu bila majaribio tutaishia na walimu wababaishaji tu.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo