Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Ridhiwani Kikwete akimsimikaTonny Ngombale Mwiru kuwa kamanda wa UVCCM Kata ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam hafla hiyo ilifanyika jana. Ridhiwani Kikwete akimsimika Naibu Kamanda wa wa vijana kata ya Kijitonyama Shy-Rose Bhanji.
0 comments:
Post a Comment