Nafasi Ya Matangazo

March 19, 2010



Mdau amewasilisha hili tushirikiane baada ya kukatiza maeneo hayo leo asubuhi akielekea kutafuta ridhiki. "Kaka hizi nyumba wanaishi watu unaweza kudhani zimetelekezwa lakini ukweli ni kwamba haya ni makazi ya watu, nimetwanga hizi picha na kicamera changu asubuhi ya leo nilipita mitaa hiyo kukwepa foleni ya Mbezi"
Posted by MROKI On Friday, March 19, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo