Kutoka kushoto katika picha ya pozi ni Sharony Mapozi, Merisa Ngwasuma mwambele, na Mariam Leila Pee.
Sharony Mapozi akiongoza wenzake kukatika wakati wa shoo yao ya usiku waleo katika ukumbi wao wa nyumbani Vingunguti.
Ngosha Masanja kulia Akiongoza kundi kushambulia jukwaa.
Repa raja radhia akifanya vitu vyake.
Hapa ni baada ya kazi ngumu ya kuburudisha kushoto ni Flora Bambucha na Pendo Bonzo.






0 comments:
Post a Comment