Nafasi Ya Matangazo

February 24, 2010

8139 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jordan Samir Rifai.
Waziri wa Miundombinu Shukuru Kawambwa akibadilishana mkataba wa ushirikiano wa usafiri wa anga na Kamishina wa Maendeleo ya Kiuchumi na Uwekezaji wa Jordan Dr. Salim Al Moghrabi kwa niaba ya Tanzania na Jordan.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Seif Ali Iddi na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jordan, Ameir Al Hadidi wakitia saini mkataba wa ushirikiano katika masuala ya Uchumi na Sayansi kati ya Tanzania na Jordan huko Amman, mji mkuu wa Jordan wakati wa ziara ya Rais Kikwete nchini humo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Seif Ali Iddi na Mkurugenzi Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Jordan, Mohammad Ali wakibadilishana mkataba wa Ushirikiano kati ya Tanzania na Jordan.
Posted by MROKI On Wednesday, February 24, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo