
Mchungaji aliyoongoza misa hiyo akisoma neno.

Mkurugenzi Mtendaji wa Executive Solutions Aggrey Mareale akiwa katikati ya waliohudhuria misa hiyo maalum.

Mmoja wa marafiki wa Alan akisaini kitabu cha maombolezo.

Vijana wa The Voice kutoka magomeni Dar es Salaam wakiimba katika Misa hiyo takatifu.

Waombolezaji wengine wakifuatilia misa hiyo Dar es salaam leo.

Baadhi ya wageni waliofika katika Misa hiyo ya kumuombea Alan Tuner aliyekuwa mmoja wa wafanyakzi wa Executive Solutions.

Wafanyakazi wa Executive Solutions waliohudhuria misa hiyo maalum ya Turner.

Watumishi wa kifuatilia misa hiyo.

Wapowalioguswa sana na msiba huo ambao walishindwa kujizua kwa kilio.
0 comments:
Post a Comment