
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akimbeba mtoto Pinda Peter aliyezaliwa na Eunice Peter (kushoto) katika zahanati ya Ibiri wilayani Uyui saa tano kabla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kufungua zahanati hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Tabora.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakimfurahia mtoto mchanga, Pinda Peter aliyezaliwa katika Zahanati ya Ibiri wilayani Uyui masaa matano kabla Waziri Mkuu hajafungua hospitali hiyo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua shamba la tumbaku la Bibi Tabu Ramadhani (kushoto kwake) lililopo katika kijiji cha Mayombo wilaani Uyui, akiwa katika ziara ya mko a wa Tabora, Februari 23, 2010. Kushoto ni mkewe Tunu.

Hii kweli ndo Kilimo Kwanza...Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua shamba la mahindi katika kijiji cha Inonelwa wilayni Uyui akiwa katikaziara ya mkoa wa Tabora.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kizungumza na wakulima wa kijiji cha Mayombo wilayani Uyui, Tabu Ramadhani (kushoto) baada ya kukagua shamba lake la tumbaku akiwa katika ziara ya mkoa wa Tabora.
0 comments:
Post a Comment