
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya mkononi ya Zain Tanzania wakati wa maandamano yaliyofanyika juzi jijini Dar es Salaam ikiwa ni katika jitihada za kuwashukuru wateja wa mtandao wa Zain kwa kujitokeza zaidi katika kutumia huduma mpya ya Nipe Nikupe. Huduma hiyo pia imeongeza idadi ya watumiaji wa mtandao wa Zain.
0 comments:
Post a Comment