Nafasi Ya Matangazo

February 14, 2010






Picha mbalimbali zikimuonesha Meneja wa Programu wa Kituo cha Radio
Times FM,Dar es Salaam, Scolastica Mazula
akitoa msaada katika wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Wilaya
ya Sengerema, Mwanza, ambapo alitoa msaada
wa nguo,nepi, sabuni na mafuta kwa watoto
waliozaliwa Februari 10, Mwaka huu. Altoa
msaada huo ikiwa ni moja ya shamrashamra
ya kusherehekea Birthday yake
Posted by MROKI On Sunday, February 14, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo