
WASANII wa Tunaweza Band ambao ni walemavu wakilishambulia jukwaa katika maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa viwanja vya Ngome Kongwe.

Baadhi ya mashabiki na wapenzi wa muziki wakifuatilia kwa ukaribu Tamasha la Mziki la Sauti za Busara.
Safi sana kazi nzuri:
ReplyDelete