
Mejeja Mwandamizi wa Mosoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula akizindua rasmi huduma ya NMB Mobile itakayowawezesha wateja wa Benki hiyo wanaotumia mitandao ya Vidacom na Zain kuweza kupata huduma mbalimbali kwa kutumia simu zao popote pale walipo. Pamoja nae ne Meja Masoko wa Benki hiyo Shilla Senkoro.

Mejeja Mwandamizi wa Mosoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula akifafanua namamna ambavyo mteja anaweza kupata huduma kwa kutumia NMB Mobile. Ionekanayo sio simu ni fulana ya NMB iliyokunwa kwa ustadi mkubwa wa kupendeza kama simu.

Mejeja Mwandamizi wa Mosoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula akifafanua jambo kwa waandishi wa habari juu ya huduma hiyo. Kushoto ni Afisa Bidhaa wa NMB, Zwadi Mwenesi.
0 comments:
Post a Comment