Nafasi Ya Matangazo

February 25, 2010

Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia viongozi waandamizi wa TAKUKURU wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa taasisi hiyo mjini Mwanza jana. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa TAKUKURU Dr. Edward Hosea na kushoto ni Waziriri wan chi Ofisi ya rais Utawala Bora, Sofia Simba.
Baadhi ya maafisa waandamizi wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) wakipigamakofi wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Taasisi hiyo mjini Mwanza leo.
Posted by MROKI On Thursday, February 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo