
Waliosoma enzi zetu watakumbuka mjengo huu wa shule ya Sekondari Tambaza.

Mgeni Rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akihutubia wakati wa mahafali ya kidato cha sita katika Sekondari ya Tambaza Dar es Salaam leo,Kulia ni Makamu Mkuu wa Shule, Terence Bunyogera na kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo Jorum Lukwalo.

Wahitimu wa kiume wakisiliza hotuba ya mgeni rasmi Dk.Charles Kimei Mkurugenzi wa Benki ya CRDB.

Hawa waliweka pozi walipoiona camera yangu.

Wapo waliokuwa wakiendelea na kujipamba wakati wa mahafali na kustukia wanapigwa picha.

Wahitimu wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Tambza wakimsikiliza mgeni rasmi Dk Charles Kimei wa CRDB.
0 comments:
Post a Comment