Nafasi Ya Matangazo

February 25, 2010


Miss Tanzania, Miriam Gerard, akingia kwenye gari lake kuondoka kwenye Mahakama ya ya Hakimi Mkazi Kinondoni Dar es Salaam leo, baada ya kuairishwa kwa kesi inayomkabili yeye na kijana mwingine anedaiwa kuwa ni mpenzi wake kwa kosa la kushambulia na kuharibu mali. Kesi hiyo itasikilizwa tena April 21 mwaka huu.
Posted by MROKI On Thursday, February 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo