Mkurugenzi Mwendeshaji wa Executive Solutions Alan Turner, ambaye ni wa pili kimadaraka kwa Mkurugenzi Mkuu, Aggrey Marealle, alifariki February 16, 2010 akiwa Johannesburg, Afrika Kusini. Mwili wake uliunguzwa huko huko siku mbili baadaye.
Kutoka kushoto Mwenyeji wa Alan Sallie, Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggreay Marealle na Mzazi mwenzake na Alan Wendy.
Mwenyeji wa Alan, Sallie akikaribisha wageni kabla ya hafla hiyo.
Watoto wa Alan, Jo(Kushoto) na Greg wakilia wakati wimbo maalum ukiimbwa.
Mtoto wa Pili wa Alan, Carrie akisoma muhtasari wa maisha ya Alan huku akitokwa na machozi, huku mdogo wao wa kiume Greg(kulia) na dada yao wa kwanza Jo (aliyekumbatiwa) wakilia).
Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggreay Marealle akizungumza kwenye maombolezo ya msiba wa Alan Turner.
Watoto wa Alan, Greg na Carrie (wa kwanza na wa pili kulia) wakiegemeana karibu na mama yao Wendy(aliyeketi) wakati wasikiliza maelezo ya Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggreay Marealle katika msiba huo.
Wawakilishi wa Executive Solutions, Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggreay Marealle (Kushoto)na Media Relations Manager, Benjamin Thompson (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Alan, Carie na Greg(wa pili na wa tatu na wa nne mbele). Wengine pichani ni rafikiye Alan, aitwaye Graham na aliyeko nyuma ni Ajohn Addison anayeshirikiana na Executive Solutions kuanndaa Kilimanjaro Marathon.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika mazungumzo seehmu ya uani baada ya maombolezo kuisha.

misiba ya kizungu hiyo hakuna kulia kwa kugalagala kama wenzangu na mie ,
ReplyDeletepoleni naomba kuuuliza huyu alan ni mbantu au zungu kwani naona hakuna dalili za ubantu humo
ReplyDelete