

Picha za juu zinaonesha Kasri la Gavana wa BOT ambalo limegharama zaidi ya Bilioni 1 kuifanyia ukarabat, fedha ambazo ni za wavuja jasho na walala chini Hospitalini na majumbani. Niserikali imehalalisha ujenzi wake ama nani?.Inadaiwa ujenzi huo umefanyika hivyo kwa sababu mikataba ya watumishi hawa inawataka wapatiwe vitu hivyo, vinginevyo wangegoma kufanya kazi BoT na kuishtaki serikari. Mastahili ambayo yanazidi yale ya Magavana wa Benki kuu za Uingereza na Marekani!



Hapa chini ni picha zilizochukuliwa katika wodi ya kina mama waliojifungua wakiwa wanapumzika pale Hospitali ya Temeke. kama utakumbuka………… hali hii ndiyo ilimfanya mwanamapambo Naomi Campbell kutokwa na machozi alipotembelea Hospitali hii.






hali hii tanzania itaisha lini hata wamama wajawazi bado hawajaanza kupowa humuhimu jamani hali inatisha
ReplyDelete