Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Wilaya ya Moshi Mjini waliomtembelea ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma ikiwa ni pamoja na kumpa taarifa ya umoja huo kuweka kambi ya vijana 300 ambao watajifunza mambo mbalimbali ikiwemo ujasiriamali. Vijana hao waliongozwa na Kamanda wao Agrey Marealle.
February 11, 2010

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment