
Baada ya kuopata fidia baadhi ya wakazi wa Mbagala walifanyia ukarabati nyumba zao kama inavyoonekana pichanani.

Ni pazuri ajabu utadhani watu ndo wamehamia siku za karibuni maana nyumba nyingi ni mpya na za kisasa zaidi.

Moja ya Mahema ambayo yamesalia kwa wakazi wa Mbagala ambapo wanatakiwa kuyarejesha ili yakatumikea katika maafa sehemu nyingine nchini.
0 comments:
Post a Comment