Nafasi Ya Matangazo

February 18, 2010

Raıs Jakaya Mrisho Kıkwete na mwenyeji wake Raıs wa Uturuki Abdukkah Gul wakıkagua gwaride la heshima muda mfupi baada ya Rais Kıkwete kuwasili katika ikulu ya nchı hıyo iliyopo jijini Ankara leo asubuhi.
Rais wa Uturuki Abdullah Gul na mkewe wakiwakaribisha Ikulu ya jıjını Ankara Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma leo asubuhi.
Rais Jakaya Kikwete akifafanua jambo wakati wa mkutano n a waandishi wa habari mara baada ya kufanhya mazungumzo rasmı katıka ikulu ya Ankara nchını Uturukı leo asubuhi.Pembenı akımsıkılıza nı Rais wa nchı hiyo Abdullah Gul.Raıs Kıkwete yupo katıka zıara ya kikazi nchini Uturuki.
Posted by MROKI On Thursday, February 18, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo