BALOZI WA UFARANSA NCHINI LEO ALIWAACHA HOI WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA MSLABA MWEKUNDU TANZANIA NA KATIBU MKUU WA SHIRIKA HILO ALHAJI ADAM KIMBISA KWA KUZUNGUMZA KISWAHILI SAFI WAKATI AKISOMA RISALA YAKE AKIKABIDHI MSAADA WA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KILOSA MKOANI MOROGORO. KIMBISA ALIZUNGUMZA KIINGEREZA. JE KWA STAILI HII KIINGEREZA CHA NINI KWA HOTUBA ZINAZOTUHUSU WATANZANIA WENYEWE.
February 17, 2010

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Sasa cha ajabu ni nini hapo! Mbona wafanyakazi wengine wa Red Cross wanaongea kifaransa?
ReplyDeleteWe anony hapo, hujaelewa kitu yaelekea. Nchi yetu ipo katika mkakati wa kukuza Kiswahili, na viongozi wetu wanaulimbukeni wa kusoma hotuba na kuendesha semina kwa lugha ya kigeni iliwaonekane wanajua ilhali wasikilizaji wote ni wazaramo kama wewe hapo. Hivyo balozi huyu kusoma risala kwa kiswahili ni changamoto kwetu na sisi tusibabaikikie lugha za wenzetu saaana. sasa mwejyeji unaongea Kingereza halafu uliyemsomea imla yako yeye anakupigia Kiswahili huoni kama ni aibu. Ona hata Kimbisa hapo anavyoshangaa.
ReplyDelete